FURSA KWA WANAZUONI WA MAMBO YA DINI KUREKODI BURE.

1

Tunatoa fursa kwa walimu wa mambo ya dini kutoka Makanisani/Misikitini kurekodi bure kitabu sauti (Audio Book) ya dakika themanini (80).
Mafundisho yoyote yenye kujenga jamii, kwa kadri ulivyobarikiwa.

Tafadhali fikisha ujumbe huu kwa wanazuoni waliobobea katika masuala ya kiimani (Ukristo/Uislamu).

Kwa maelezo zaidi piga/sms 0712 266 865.

1 comments:

"CHAGUA CHADEMA".....New Song, Artist-Good Killer, Studio-Jc-records.

2
Sikiliza nyimbo mpya ya msanii Good Killer, inayoitwa CHAGUA CHADEMA.
Ni nyimbo ya harakati za kisiasa na kijamii kama ilivyo msingi mkuu kwa Hi Hop, imefanyika katika studio ya JC-RECORDS.

Kusikiliza bonyeza kiunganisho hiki hapo chini.






2 comments:

TUNATOA MAFUNZO YA SAUTI KWA NJIA YA KIDIGITALI

0

Jc-records tumeanzisha mafunzo ya sauti za kuimba kwa njia ya digitali ikiwa ni pamoja na kujenga pumzi katika uimbaji, kujifunza mipito tofauti katika uimbaji, kuimba sauti za juu, kuimba sauti za chini, kuimba sauti zisizo asilia (falsetto), kutanua koo katika uimbaji, kuboresha matamshi katika uimbaji, maandalizi kabla ya kuimba na mengineyo mengi.

Mafunzo haya yamegawanyika katika hatua tofauti, kila hatua moja mafunzo hutolewa kwa masaa mawili.
Kwa kila hatua gharama yake ni Tsh. Elfu Kumi (10,000/=)

0 comments:

WASHINDI WA SHINDANO LA KUINUA VIPAJI.

1
Miongoni mwa wengi walioshiriki katika shindano la kusaka na kuinua vipaji, walipatikana vijana sita wanaofanya aina tofauti  tofauti za mziki ambao walifanya vyema na kuonekana wana vipaji vya kuendelezwa.
Washindi hao ni Hussein Kibazo, Pacmen Dee, Claudi Kaweza, Serungwe Bakari, Elly Abasi na Ibrahim Amos.






1 comments:

MATUKIO KATIKA PICHA YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA KUINUA VIPAJI.

0
Baadhi ya picha za washiriki siku ya shindano la kuinua vipaji lililofanyika Jc-records.


















0 comments:

PICHA MBALIMBALI ZA WASHIRIKI KATIKA SHINDANO LA KUINUA VIPAJI.

0
Picha mbalimbali za washiriki wa shindano lililofanyika Jc-records.










0 comments:

BAADHI YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA VIPAJI JC-RECORDS.

0

Miongoni mwa washiriki katika shindano la kusaka vipaji lililofanyika Jc-records tarehe 30/5/2015.
Picha hizi zilipigwa siku ya tukio wakiwa wanaonyesha vipaji vyao katika uimbaji.

0 comments: