AUDIO RECORDING ADVERT.

0

Bahati Chando at Jc-records, audio recording modeling advert.

0 comments:

Chimbuko la JC-RECORDS.

1

Chimbuko la studio ya Jc-records.

1 comments:

CUSTOMER CARE AUDIO VOICE RECORDING FOR VIETTEL TANZANIA (hallotel).

0

Voice recording model, Ruqaiyyah practising vocal range before recording AVR.

0 comments:

AUDIO VOICE RECORDING (AVR) for Viettel Tanzania.

1

Audio voice recording (AVR) for a new telecommunication company, Viettel Tanzania at Jc-records studio.

Narrated by Ruqaiyyah.

Recently we had a privellege to work with Viettel Tanzania, a new telecommunication company.
We thank Mr. Nam (head of customer care) for his trust in our work and proffesionalism.

1 comments:

MATUKIO KATIKA PICHA, SOUND-TRACK YA FILAMU YA MAISHA NI SIASA.

1
Picha mbalimbali za washiriki na matukio katika uandaaji wa sound-tarck ya filamu ya MAISHA NI SIASA katika studio za JC-RECORDS.

















1 comments:

FILAMU YA MAISHA NI SIASA....MATAYARISHO YA SOUND-TRACK KATIKA STUDIO YA JC-RECORDS.

1
Producer Hizam Touch wa studio ya JC-RECORDS akishirikiana na Waandaaji wa Filamu mpya iitwayo MAISHA NI SIASA (Shaahid,Paul Mashauri, Kenzo na wengineo).
Chini  ni picha mbalimbali katika uandaaji wa sound-track wa filamu hiyo.








1 comments:

UANDAAJI WA SOUND-TRACK YA FILAMU MPYA IITWAYO "MAISHA NI SIASA"...Matukio Katika Picha.

2
Matukio mbalimbali katika uandaaji wa sound-track ya filamu mpya ya MAISHA NI SIASA katika studio ya JC-RECORDS.






2 comments:

MATAYARISHO YA SOUND-TRACK YA FILAMU MPYA INAYOITWA "MAISHA NI SIASA."

2
Picha mbalimbali za matukio ndani ya studio ya JC-RECORDS katika uandaaji wa sound-track ya filamu mpya inayoitwa MAISHA NI SIASA inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.




2 comments:

KITABU SAUTI CHA MAFUNZO YA KIDINI (UISLAM)- FAIDA YA FUNGA.

0
Jipatie nakala ya bure ya kitabu sauti (Audio Book) cha mafundisho ya dini kiitwacho, "FAIDA YA FUNGA" kwa kufungua kiunganishi hiki chini.


Kitabu sauti hiki kimesomwa na kuandikwa na mwanazuoni Sheikh Abdul-Mujib Bira, wa Markaz Masjid na kutayarishwa na Jc-records.

0 comments:

FURSA KWA WANAZUONI WA MAMBO YA DINI KUREKODI BURE.

1

Tunatoa fursa kwa walimu wa mambo ya dini kutoka Makanisani/Misikitini kurekodi bure kitabu sauti (Audio Book) ya dakika themanini (80).
Mafundisho yoyote yenye kujenga jamii, kwa kadri ulivyobarikiwa.

Tafadhali fikisha ujumbe huu kwa wanazuoni waliobobea katika masuala ya kiimani (Ukristo/Uislamu).

Kwa maelezo zaidi piga/sms 0712 266 865.

1 comments:

"CHAGUA CHADEMA".....New Song, Artist-Good Killer, Studio-Jc-records.

2
Sikiliza nyimbo mpya ya msanii Good Killer, inayoitwa CHAGUA CHADEMA.
Ni nyimbo ya harakati za kisiasa na kijamii kama ilivyo msingi mkuu kwa Hi Hop, imefanyika katika studio ya JC-RECORDS.

Kusikiliza bonyeza kiunganisho hiki hapo chini.






2 comments: