Sikiliza "APECHEALOLO" Nyimbo Mpya Aina Ya Trap Kutoka Kwa BFMG.
Sikiliza "Matatizo" Nyimbo Mpya Ya HipHop (Diss).
Sikiliza Nyimbo Ya Injili Ya Msanii Robby, kutoka Jc-records.
Sikiliza Nyimbo Mpya Ya Msanii Pray kutoka JC-RECORDS Iitwayo Napata Raha.
Sikiliza Nyimbo Ya Injili Inayoitwa Believe (Amini).
Sikiliza Nyimbo Hii Ya Injili Toka Jc-records Ft. Jayden-Christ.
Sikiliza Nyimbo Ya Msanii Logik Kutoka Jc-records.
Sikiliza Nyimbo Mpya-Mulla Jr, Produced By Aby Dady, Jc-records.
JC-RECORDIFIED.
KAMATA FURSA YA KUWA MSANII WA LEBO.
Haijalishi unaimba aina gani ya mziki, haijalishi kama umewahi kurekodi hapo kabla ama hujawahi, haijalishi wangapi wameshakukataa hapo kabla, haijalishi wangapi wamesema huwezi kuimba ama wangapi hawaamini juu ya ndoto yako.
Unahitaji mtu ambaye atakua tayari kukusikiliza, kukupa muda wa kuonyesha kile ulinacho, kukuamini juu ya uwezo wako na uthubutu wako wa kujaribu kile upendacho kufanya, kuamini juu ya ndoto zako, kukuonyesha makosa yako na kukusahisha huku akikupa moyo wa kusonga mbele.
JC-RECORDS inatoa fursa hiyo kwako, kwa kutoa nafasi 10 za wasanii wa lebo watakaopewa fursa ya kurekodi bure. Shiriki kupata fursa hii kwa kuchukua fomu sasa kwa Tsh. 10,000/= tu.
Mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 28/5/2015.
Kwa maelezo zaidi piga simu/sms 0712 26 68 65.