FURSA KWA WANAZUONI WA MAMBO YA DINI KUREKODI BURE.
Tunatoa fursa kwa walimu wa mambo ya dini kutoka Makanisani/Misikitini kurekodi bure kitabu sauti (Audio Book) ya dakika themanini (80).
Mafundisho yoyote yenye kujenga jamii, kwa kadri ulivyobarikiwa.
Tafadhali fikisha ujumbe huu kwa wanazuoni waliobobea katika masuala ya kiimani (Ukristo/Uislamu).
Kwa maelezo zaidi piga/sms 0712 266 865.