Producer Hizam Touch wa studio ya JC-RECORDS akishirikiana na Waandaaji wa Filamu mpya iitwayo MAISHA NI SIASA (Shaahid,Paul Mashauri, Kenzo na wengineo).
Chini ni picha mbalimbali katika uandaaji wa sound-track wa filamu hiyo.
1 comments:
UANDAAJI WA SOUND-TRACK YA FILAMU MPYA IITWAYO "MAISHA NI SIASA"...Matukio Katika Picha.
Picha mbalimbali za matukio ndani ya studio ya JC-RECORDS katika uandaaji wa sound-track ya filamu mpya inayoitwa MAISHA NI SIASA inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.