DUNIA YA VITABU SAUTI (Audio Books), FURSA YA BURE.
DUNIA YA VITABU SAUTI (Audio Books), FURSA YA BURE.
"Sikiliza unachotaka....Kwa muda unaotaka....Mahali popote unapotaka"
JC-RECORDS STUDIO inatoa fursa kwa mtu yoyote mwenye ustadi katika fasihi simulizi kufanya kitabu sauti bure katika nyanja yoyote iwe ya kiuchumi, kisiasa, kijamii au kiutamaduni.
Yaweza kuwa ni;
#Kilimo, biashara au ujasiriamali.
#Uhamasishaji jamii juu ya fursa mbalimbali.
#Uamsho juu ya elimu ya uraia na mambo ya kisiasa.
#Mapenzi (uchumba, ndoa, mafunzo kwa wanandoa n.k)
#Simulizi za hadithi mbalimbali.
#Mafunzo ya kiimani (dini zote).
#Uamsho wa nia, uthubutu na kufikia malengo katika maisha.
#Simulizi za kihistoria, mila na desturi.
# Simulizi za watoto zenye mafunzo.
# Mafunzo kuhusu afya na ushauri nasaha.
# Mafunzo kuhusu maadili na malezi.
Mawasiliano: 0712266865 (Piga, Sms, Watsapp)