FUNGUKA "Imba, Chana Mpaka Basi...."

4

Kampuni ya VIPAJI VINGI wakishirikiana na Studio ya JC-RECORDS wanakuletea......

FUNGUKA SEASON 2 "Imba, Chana Mpaka Basi."

Je, wewe ni msanii mwenye uwezo wa kuimba au kuchana?

Shindano la FUNGUKA "Imba, Chana Mpaka Basi"  msimu wa pili 2016 linakupa nafasi ya kusimamiwa kazi zako zote za kimuziki ikiwa ni pamoja na kurekodi album nzima ya audio na video bure.

Shindano hili linakuja kwa utofauti mkubwa kuwapa fursa vijana wenye vipaji kuwa sehemu ya  mapinduzi katika nyanja ya menejimenti ya mziki na kazi zao kiujumla.

Kwa maelezo zaidi endelea kufatilia ukarasa wetu katika Instagram,  @funguka_season2

Piga Simu ,Sms au Whatsapp.
# 0716043014
# 0712266865
# 0762637807

4 comments: