Pakua MASHAHIRI YA MAPENZI kupitia MKITO.COM

3

Pakua mashahiri ya mapenzi yaliyo katika sauti na mandhari nyuma ya ala/mziki laini.
Ni mashahiri yenye kuvutia baina ya wenza walio katika ndoa au mahusiano.

Pakua mashahiri ya kimapenzi mbalimbali kupitia tovuti hii www.MKITO.com

Yameandikwa na kutayarishwa na studio ya JC-RECORDS.

Muhimu: Yasisikilizwe na mtu aliye chini ya miaka 18.

Mashahiri haya yatapatikana pia katika mfumo wa Kitabu Sauti (Audio- Book) maalumu kwa wenza.

3 comments:

Pakua kitabu cha SALA ZA WATOTO

3

Pakua kitabu cha SALA ZA WATOTO, Toleo la kwanza, kupitia tovuti ifuatayo; www.SIMGAZETI.com

Kitabu cha SALA ZA WATOTO ni maalumu kwa watoto, ni nyenzo muhimu kabisa katika kuileta familia pamoja kwa sala na maombi.

Kitabu cha SALA ZA WATOTO kina takribani sala mia moja (100) ambazo wazazi na walezi wanaweza kuzitumia kwa kuwashirikisha watoto ili kujenga misingi imara ya familia zinazomuabudu na kumtumia Mungu.

Kimeandikwa na kutayarishwa na studio ya JC-RECORDS.

3 comments:

Pakua kitabu cha BIBLIA YA WATOTO

5

Pakua kitabu cha BIBLIA YA WATOTO, Toleo la kwanza, kupitia tovuti ifuatayo www. SIMGAZETI.com

Kitabu cha BIBLIA YA WATOTO ni kitabu cha kwanza Afrika mashariki na kati kilichoandikwa kwa lugha nyepesi ya kiswahili na kinachoakisi uhalisia wa masimulizi ya maandiko matakatifu maalumu kwa ajili ya watoto.
Kimesheni picha zenye kuakisi matukio ya matendo makuu ya MUNGU katika maandiko matakatifu.

Pia kitabu cha BIBLIA YA WATOTO kina hitimisho la mafunzo ya kimaadili kutoka katika kila sura ya kitabu ili kuwapatia wazazi na walezi urahisi wa kutafakari pamoja wakiwa na watoto.

Kimeandikwa na kutayarishwa na studio ya JC-RECORDS.

5 comments: