Kipindi cha Televisheni- SANAA YA MAONGEZI
2
Ukiwa ni mshahiri, mghani ngonjera, mghani sanaa ya maneno, mchoraji, mchongaji, mfinyanzi, ngoma za asili, mpiga ala za asili, muigizaji wa maigizo mafupi ya kufikisha ujumbe au vichekesho vifupi vya kufikisha ujumbe au kuibua hoja na mijadala chanya katika jamii.
Tunakukaribisha kwa mahojiano na kupata fursa ya kujitangaza kupitia kipindi cha SANAA YA MAONGEZI.
Tupigie simu au tuma ujumbe mfupi kupitia namba 0712 266865. (Jc-mobile photo studio and production)
Tufuatilie INSTAGRAM: sanaayamaongezi