FASIHI SIMULIZI KATIKA UCHONGAJI- SANAA YA MAONGEZI
Je, umewahi kufikiria juu ya fasihi simulizi kupitia uchongaji wa vinyago?
Pichani ni vinyago ambayo vimechongwa kupitia fasihi simulizi.
Kinyago kimoja hapo chini kinaelezea asili na chimbuko la alama za nyusoni zinazotumika na moja ya kabila nchini Tanzania.
Kinyago kingine kinaelezea fasihi simulizi ya mpambano wa majini katika moja ya majira ya mwaka.
Na vingine ni simulizi ya sanaa kupitia maisha ya zama za ujima na ujamaa.
Kujua mengi zaidi fuatilia kipindi cha SANAA YA MAONGEZI kitakachoanza kurushwa hewani hivi karibuni.
Kujua ni lini na stesheni gani kitarushwa hewani, endelea kufuatilia kipindi cha Sanaa ya maongezi kupitia kurasa na akaunti ya kipindi @sanaayamaongezi.
Picha kwa hisani ya JC-MOBILE PHOTO STUDIO, 0712 266865
@ jcmobilephotostudio