FASIHI SIMULIZI KATIKA UCHONGAJI- SANAA YA MAONGEZI

0

Je, umewahi kufikiria juu ya fasihi simulizi kupitia uchongaji wa vinyago?
Pichani ni vinyago ambayo vimechongwa kupitia fasihi simulizi.

Kinyago kimoja hapo chini kinaelezea asili na chimbuko la alama za nyusoni zinazotumika na moja ya kabila nchini Tanzania.
Kinyago kingine kinaelezea fasihi simulizi ya mpambano wa majini katika moja ya majira ya mwaka.
Na vingine ni simulizi ya sanaa kupitia maisha ya zama za ujima na ujamaa.

Kujua mengi zaidi fuatilia kipindi cha SANAA YA MAONGEZI kitakachoanza kurushwa hewani hivi karibuni.
Kujua ni lini na stesheni gani kitarushwa hewani, endelea kufuatilia kipindi cha Sanaa ya maongezi kupitia kurasa na akaunti ya kipindi @sanaayamaongezi.

Picha kwa hisani ya JC-MOBILE PHOTO STUDIO, 0712 266865
@ jcmobilephotostudio

SANAA YA UBUNIFU KUPITIA MABAKI YA WANYAMA NA MATUNDA.

0

Je, unafahamu au unataka kujifunza zaidi sanaa ya ubunifu wa kutengeneza bidhaa kwakutumia mabaki ya wanyama na matunda au mimea?

Fuatilia mfululizo wa vipindi vya SANAA YA MAONGEZI kitakachoanza kurushwa hivi karibuni.
Tembelea ukurasa na akaunti ya kipindi @sanaayamaongezi.

Picha kwa hisani ya JC-MOBILE PHOTO STUDIO, Mawasiliano- 0712 266865.
@jcmobilephotostudio

TAFSIRI YA KAZI ZA SANAA

0

Je, unafahamu juu ya tafsiri za rangi katikaa maudhui mbalimbali ya sanaa ya uchoraji?
Je, unafamu juu ya picha kuongea?

Kupata mengi zaidi juu ya sanaa ya uchoraji, fuatilia kipindi cha SANAA YA MAONGEZI kupitia akaunti na kurasa za kipindi @sanaayamaongezi ili upate kujifunza zaidi.

Picha kwa hisani ya JC-MOBILE PHOTO STUDIO, 0712 266865.
@jcmobilephotostudio

KINYAGO KIKUBWA ZAIDI TANZANIA-SANAA YA MAONGEZI

0


Hiki ni kinyago kikubwa zaidi kupata kutengenezwa nchini Tanzania. 

Ni kazi endelevu iliyochukia takribani zaidi ya miaka mitano mpaka sasa.

Kinatumika kama sehemu ya mafunzo kwa vyuo vikuu mbalimbali vya sanaa ndani na nje ya nchi.

Je, unataka kujua kinaitwaje?

Je, ungependa kufahamu maudhui yaliyobebwa na kinyago hiki?

Fuatilia kipindi cha sanaa ya maongezi kupitia kurasa na akaunti za kipindi 
@sanaa ya maongezi ili kujua mengi zaidi.

Picha kwa hisani ya Jc-mobile photo studio, 0712 266865, 
@jcmobilephotostudio

Kipindi cha Televisheni- SANAA YA MAONGEZI

0

Ukiwa ni mshahiri, mghani ngonjera, mghani sanaa ya maneno, mchoraji, mchongaji, mfinyanzi, ngoma za asili, mpiga ala za asili, muigizaji wa maigizo mafupi ya kufikisha ujumbe au vichekesho vifupi vya kufikisha ujumbe au kuibua hoja na mijadala chanya katika jamii.
Tunakukaribisha kwa mahojiano na kupata fursa ya kujitangaza kupitia kipindi cha SANAA YA MAONGEZI.

Tupigie simu au tuma ujumbe mfupi kupitia namba 0712 266865. (Jc-mobile photo studio and production)

Tufuatilie INSTAGRAM: sanaayamaongezi

MILIKI STUDIO KWA MUDA UNAOTAKA NA KWA GHARAMA NAFUU.

0

MILIKI STUDIO KWA MUDA UTAKAO NA KWA GHARAMA NAFUU.

JC-RECORDS STUDIO Tunakodisha studio pamoja na vifaa vyote kwa matumizi ya muda katika mfumo wa masaa (hourly rate) au siku kwa ajili ya shughuli zozote za kurekodi.

Iwe kurekodi muziki (music production), kutengeneza ala (beats), kuingiza sauti (vocal recording), kukamilisha kazi sauti (mixing and mastering), matangazo ya biashara, vipindi vya redio au mazoezi ya kuimba.

Fursa ni yako Tupigie/Sms/WhatsApp 0712 266865.

Pakua MASHAHIRI YA MAPENZI kupitia MKITO.COM

0

Pakua mashahiri ya mapenzi yaliyo katika sauti na mandhari nyuma ya ala/mziki laini.
Ni mashahiri yenye kuvutia baina ya wenza walio katika ndoa au mahusiano.

Pakua mashahiri ya kimapenzi mbalimbali kupitia tovuti hii www.MKITO.com

Yameandikwa na kutayarishwa na studio ya JC-RECORDS.

Muhimu: Yasisikilizwe na mtu aliye chini ya miaka 18.

Mashahiri haya yatapatikana pia katika mfumo wa Kitabu Sauti (Audio- Book) maalumu kwa wenza.