KITABU SAUTI CHA MAFUNZO YA KIDINI (UISLAM)- FAIDA YA FUNGA.

0
Jipatie nakala ya bure ya kitabu sauti (Audio Book) cha mafundisho ya dini kiitwacho, "FAIDA YA FUNGA" kwa kufungua kiunganishi hiki chini.


Kitabu sauti hiki kimesomwa na kuandikwa na mwanazuoni Sheikh Abdul-Mujib Bira, wa Markaz Masjid na kutayarishwa na Jc-records.

0 comments: