Mullah Jr. Kijana mwenye kipaji cha uimbaji.

0
Kipaji ni zawadi, nimepata kushuhudia watu wenye vipaji wengi. Kwa ubora wa kazi zao na kwa kutumia vizuri vipaji vyao wamefanya mambo makubwa kwao binafsi na kwa jamii kiujumla. Wote walikuwa wanabebwa na sifa kuu mbili UTII na JUHUDI kwa kila kitu wanachokifanya. MULLAH Jr.ni mmoja wa vijana wenye sifa na uwezo wa kuwa bora kabisa kwa muda mwingi ujao.
Ana kipaji katika utunzi, kuimba na kubuni mitindo ya sauti ya uimbaji kwa namna ya kipekee sana.
Mulla Jr ni msanii anayeaanda albamu yake JC-RECORDS, anatarajia kutambulisha nyimbo yake ya kwanza hivi karibuni.

 

0 comments: