Fulsa ya Kurekodi Bure Kwa Msanii wa HIP-HOP

0
Kwa kijana yoyote aliye na kipaji cha Kughani mashairi kwa mtindo wa HIP-HOP, mwenye staili ya kipekee, mwenye kuweza kuandika mashairi yenye uhalisia na kuteka hisia katika utamaduni wa HIP-HOP. JC-RECORDS inatoa fulsa ya wazi kwa kijana yoyote yule, ambaye ana umri chini ya miaka 22, kupata nafasi ya kurekodi bure. Hii ikiwemo na kupewa nafasi ya kuchagua ala zilizo tayari hapa studio ama kutengenezewa ala yoyote upya kutokana na ubunifu na hisia zake kulingana na nyimbo anayotaka kurekodi.Fulsa huu itaambatana na nafasi ya ziada ya kuweza kusainiwa kuwa msanii wa HIP-HOP wa lebo ya JC-RECORDS. “Tunaisikiliza ndoto yako, tunaipa msukumo ndoto yako, tunaifanikisha ndoto yako”-JC-RECORDS Piga namba: 0712 266865/ 0713 266865/ 0789 333646

0 comments: