NYIMBO MPYA YA MULLAH Jr, "WITHOUT YOU" KUTOKA JC-RECORDS.

4
"WITHOUT YOU" ni nyimbo iliyotungwa kwa ajili ya kushukuru na kuthamini malezi ya kipekee yanayotolewa na kina mama, nyimbo hii imeimbwa kwa ufanisi na kutumia lugha ya kisanii ambayo imeipa nyimbo hii wigo mpana zaidi katika maudhui yake. Utunzi na uimbaji umefanywa na MULLAH Jr. Nyimbo hii imetambulishwa rasmi kwa mara ya kwanza tarehe 16th November, 2013 kupitia redio ya watu CLOUDS FM. Sikiliza wimbo huu kupitia kiunganishi hapo chini. http://www.hulkshare.com/studiojc-records/artist-mullah-jr-song-without-you-studio-jc-records

4 comments: