Matayarisho Ya Kipindi Kipya Cha Luninga Kinachoitwa "BONGE LA SHOW".

1
Studio ya JC-RECORDS ikishirikiana na Ama the maker (the Makers entertainment), the best Dj in town  Dj Amo, Kelvin "the Cam monster" na Diva Pazzy wako katika maandalizi ya kipindi kipya cha luninga kinachoitwa "BONGE LA SHOW". Kipindi kitakuwa na maudhui tofauti na ya kipekee sana, kaa mkao wa kusubiri kwa shauku.










1 comment: