Matayarisho ya kipindi cha "Bonge La Show" yakiendelea.

1

Jc-records inaendelea na matayarisho ya kipindi kipya cha Luninga kinachoitwa "Bonge La Show".
Katika picha matayarisho ya segment ya "Battle Field", kipengele kitakachohusika na ushindani wa Madj, Mcees, Breakdancers, Waimbaji n.k. Kulia ni Mcee Logic akijiandaa na mitindo huru kwa ajili ya kipengele cha Battle Field.

Picha nyingine ni mwanadada Pazypendo akiandaa habari kwa ajili ya kipengele cha "Darasa Huru" akiwa na Dj Mo wa maisha club, ama the maker na Kelvin.

1 comment: