FURSA YA BURE KWA WATAYARISHA MZIKI WACHANGA/WANAOCHIPUKIA.

0

Jc-records inatoa fursa kwa watayarishaji mziki wachanga (underground/upcoming producers) kujitangaza kupitia kazi zao na ubunifu wao katika kutengeneza mapigo ya ala (beats).

Fursa hii ni bure, utafanya kazi yako kwa kutumia vifaa vya studio bila malipo yoyote.
Fursa hii ni kwa mtayarisha mziki na msanii wake.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0712 26 68 65.

0 comments: