Kitabu Sauti - BIBLIA YA WATOTO.

1

BIBLIA YA WATOTO ni kitabu sauti cha mafundisho matakatifu ya Biblia kilichosheheni picha na masimulizi kutoka katika Maandiko matakatifu ya Biblia.
Kinapatikana katika DVD, VCD na mfumo wa PDF.
Kimelenga katika kujenga watoto katika misingi ya Malezi Mema na kuwakuza Kiimani, kitabu hiki kinatoa fursa ya kuwasaidia Wazazi katika kulea Watoto katika mlengo wa Maandiko Matakatifu.

"Mimi na familia yangu tutamtumikia Bwana" - Joshua 24:15

Kimetayarishwa na
JC-RECORDS.

Blog: www.jc-recordsstudio.blogspot.com
Twitter: @RecordsJc, Facebook: www.facebook.com/recordsJc,
Hulkshare: www.hulkshare.com/studiojc-records
Mobile: 0712 266 865 (sms/watsapp)
PIN: 7535E89.

1 comment: