KAMATA FURSA YA KUWA MSANII WA LEBO.

1

Haijalishi unaimba aina gani ya mziki, haijalishi kama umewahi kurekodi hapo kabla ama hujawahi, haijalishi wangapi wameshakukataa hapo kabla, haijalishi wangapi wamesema huwezi kuimba ama wangapi hawaamini juu ya ndoto yako.

Unahitaji mtu ambaye atakua tayari kukusikiliza, kukupa muda wa kuonyesha kile ulinacho, kukuamini juu ya uwezo wako na uthubutu wako wa kujaribu kile upendacho kufanya, kuamini juu ya ndoto zako, kukuonyesha makosa yako na  kukusahisha huku akikupa moyo wa kusonga mbele.

JC-RECORDS inatoa fursa hiyo kwako, kwa kutoa nafasi 10 za wasanii wa lebo watakaopewa fursa ya kurekodi bure. Shiriki kupata fursa hii kwa kuchukua fomu sasa kwa Tsh. 10,000/= tu.

Mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 28/5/2015.

Kwa maelezo zaidi piga simu/sms 0712 26 68 65.

1 comment: