SHIRIKI BILA KUSITA.

0

Imebaki takribani wiki tu, shindano la kutafuta vipaji vya wasanii kumi wa lebo wa studio ya JC-RECORDS kufanyika. Shiriki bila kusita, chukua fomu yako ya kushiriki katika studio za JC-RECORDS, kwa maelezo zaidi piga simu/tuma sms namba 0712 266865.

0 comments: