TUNATOA MAFUNZO YA SAUTI KWA NJIA YA KIDIGITALI

0

Jc-records tumeanzisha mafunzo ya sauti za kuimba kwa njia ya digitali ikiwa ni pamoja na kujenga pumzi katika uimbaji, kujifunza mipito tofauti katika uimbaji, kuimba sauti za juu, kuimba sauti za chini, kuimba sauti zisizo asilia (falsetto), kutanua koo katika uimbaji, kuboresha matamshi katika uimbaji, maandalizi kabla ya kuimba na mengineyo mengi.

Mafunzo haya yamegawanyika katika hatua tofauti, kila hatua moja mafunzo hutolewa kwa masaa mawili.
Kwa kila hatua gharama yake ni Tsh. Elfu Kumi (10,000/=)

0 comments: