MENEJA WA KITENGO CHA MZIKI NA RATIBA kutoka REDIO YA CLOUDS FM Alipotembelea JC-RECORDS.

3
Meneja wa kitengo cha Mziki na Ratiba kutoka CLOUDS FM, Ndugu OTHMAN SUKA jana alitembelea studio ya JC-RECORDS, kusikiliza kazi za mziki zifanyikazo JC-RECORDS baada ya kuvutiwa na kazi ya Msanii Mulla Jr (Inayoitwa “Without You”) aliyeshiriki Fiesta Super Nyota, kazi hiyo bado haijatambulishwa rasmi na imefanyika katika studio zetu za JC-RECORDS. Mdau OTHMAN SUKA alipata wasaa pia wakutupa ushauri ili kuboresha kazi zaidi na pia kukabiliana na changamoto za soko la mziki. Asante kaka kwa kututembelea.

3 comments: