RENOWNED DJ Aboubakar Sadiq at JC-RECORDS.

0
Renowned Dj, founder of legendary Kwafujo Djz, Aboubakar Sadiq at JC-RECORDS studio. Tulipata nafasi ya kubadilishana mawazo na Dj mkongwe na bora kabisa wa redio kutoka Radio one Aboubakar Sadiq, kuzungumzia changamoto mbalimbali za soko la mziki wa Tanzania na soko la mziki wa kimataifa. Tulifarijika kusikia kutoka kwake lakini tulichukua pia ushauri wake katika kukabiliana na changamoto za soko la mziki wa sasa na shughuli za studio kwa ujumla. Pichani Aboubakar Sadiq akiwa amembeba Jayden-Christ a.k.a JC, JC ndiyo mmliliki wa studio ya JC-RECORDS.

0 comments: