Producer Mdogo Kuliko Wote Duniani, JC. (Fun Time at JC-RECORDS)

5

Ni busara kwa mzazi kumuongoza na kumsahuri mtoto wake katika mambo mbalimbali. Lakini mtoto hachaguliwi ndoto zake wala hachaguliwi kipaji, hivyo ni jambo muhimu sana na ni busara kumuwezesha na kumtia moyo mtoto pindi anapoonyesha ana dhamira au msukumo wa kufanya jambo fulani alipendalo. Kumkataza au kumchagulia cha kufanya ni kumpotezea ubunifu, maarifa na kuua kipaji ambacho ni zawadi ya pekee iliyo ndani yake aliyopewa na Mungu.
Mdadisi mtoto anapenda kufanya nini, muongoze na kumtia moyo, muwezeshe atimize ndoto zake, kuwa mshabiki wake namba moja ili akikuze kipaji chake.
Video hii ni ya mtoto Jayden-Christ akipiga kinanda kwa vurugu bila mpangilio wowote lakini tabasamu lake linaakisi furaha aliyonayo kila asikiapo mlio wa kinanda.
Mungu awabariki watoto wote popote walipo.

5 comments:

  1. Ni kweli kabisa.....mtoto ukimkuza toka awali anakua akitambua uwezo wake na kama wazazi wana jukumu la kumsaidia na mwisho wa siku ndoto za mtoto huyo kuibuka na kua kweli.
    i wish all the best to Jc.
    am proud of you Magulya that you have time with your son.

    ReplyDelete
  2. replica bags for sale find out this here n3r87h8a52 replica bags 168 mall web link a8n03s1u14 gucci replica bags replica bags pakistan replica bags online pakistan replica gucci handbags d8m55w9q31 replica bags toronto

    ReplyDelete