ROMANTIC POEMS AUDIO BOOK for the coming VALENTINE’S DAY and LOVE LIFE AT LARGE.

0
Kitabu sauti cha mashairi ya mahaba kwa ajili kwa ajili ya wapenzi walio katika ndoa, uchumba n.k, kitakuwa kinapatikana katika cd kwa bei nafuu.
Kitabu sauti hiki kimepambwa kwa sauti za ala mbali mbali zilizoandaliwa JC-RECORDS, mpangilio wa sauti za mashairi ni wakuvutia  na upo katika maudhui mbalimbali, mchanganyiko wa sauti uko katika ubora wa hali ya juu.
Kitabu sauti hiki kitatoka rasimi siku ya tarehe 14.2.2014.


Chini hapo katika picha ni baadhi ya matukio wakati wa kuingiza baadhi ya sauti zilizomo katika kitabu sauti hiki cha mashairi ya mapenzi.





0 comments: